Monday, June 15, 2009

MAOMBI YANABADILISHA

Mpendwa katika Bwana,

Bwana Yesu asifiwe!

Namshukuru Mungu kwa kunipa neema ya kuweza kutumia fursa hii kuzungumzi juu ya nguvu ya maombi. Wakristo hawajui jinsi ambavyo Mungu alitupa uthamani mbele ya Macho yake na kwama tukiomba kila kitu sawasawa na mapenzi yake yeye atatupa.